Notification texts go here Contact Us Buy Now!
TENGENEZA BLOG YA BIASHARA KUPITIA WAT_TECHNOLOGY...
Posts

GEUZA WHATSAPP YAKO KUWA NOTEBOOK

 

💨 Sikuhizi Whatsapp imekuwa kama Diary au Notebook yangu.
Yani wazo lolote au kitu chochote cha kuwafundisha likinijia nalihifadhi whatsapp.
Watu watauliza whatsapp inawezaje juwa diary au Notebook?.

Easy sana!
Leo nitakuelekeza namna ya kuigeuza whatsapp yako kuwa Notebook

Mfano:

Umetumiwa Mesaage au Picha ya muhimu kwenye whatsapp.Au umeiona sehemu nyingine yeyote. Unaweza kuihifadhi kwa kujitumia mwenyewe kwenye Whatsapp.

Whatsapp, Tangu mwezi wa 6, wameleta feature hii ambayo inakuwezesha kutunza kumbukumbu zako za muhimu kwa kujitumia mwenyewe Whatsapp.Ambapo utashare kwenye sehemu ya contant utasearch jina lako. Ambapo litatokea kama hapo mini linavyoonyesha.

WARDEN NG📱 (You).






Post a Comment

Whatsapp me 0699181313
Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.