Notification texts go here Contact Us Buy Now!
TENGENEZA BLOG YA BIASHARA KUPITIA WAT_TECHNOLOGY...
Posts

Jisi Ya Kutengeneza Card Ya Mastercard na VISA kwa Mitandao Ya Simu VODACOM, TIGO &AIRTEL

 MASTERCARD MTANDAO WA TIGO



Kutengeneza Card ya Mastercard kwa Mtandao wa Tigo haiitaji Gharama Yoyote Ile. Ili kuitumia Card Yako ya Mastercard kwa Mtandao wa Tigo itakubidi uweke Salio kwenye Lain Yako Ya Tigo ili uweze kufanya malipo Ya kimtandao.

Uzuri wa hizi Card unaweza kufanya malipo sehemu Yoyote ile Duniani na hii ina wafavor sana wale ndugu zangu wa kununua Bidhaa Online kupitia Kikuu,Albaba,A.expless,Amazon nk.

UTAPATAJE HII CARD YA MASTERCARD?

Ni Rahisi sana, fatana na mimi kupitia picha hizi hapa chini ili uweze kuelewa namna Ya kutengeneza Card 

Hatua Ya kwanza (1)



Hatua Ya pili (2)


Hatua Ya Tatu (3)

Hatua Ya Nne (4)

Hatua Ya Tano (5)

Hatua Ya Sita(6)

Hatua Ya Saba (7)

Hatua Ya Nane (8)

Hatua Ya Tisa (9)

Mwisho kabsa Baada ya kukamilisha Hatua Zote utapewa Taarifa za Kadi Yako kama inavyo onekana Hapo
NB:kwenye Maelekezo hapo nimechagua Matumizi ya mara moja,Ambayo Card itafanya kazi kwa Siku 7 Tu then ita Expire 

Ila wew unawez kuchagua matumiz Ya siku 90 yan Miezi 3 ya Kutumia Card Yako. Miezi hyo 3 ikiisha utatakiwa kutengeneza Card nyingne ili uweze  kuendelea na Matumizi Yako kwa sababu baada Ya miezi 3 inaexpire.

Endapo utapata changamoto kwenye kufungua Card unaweza Wasiliana nasi kwa msaada

Bonyeza hapa kama unahitaji msada


JINSI YA KUTENGENEZA CARD YA MASTERCARD KWA MTANDAO WA AIRTEL

Kwa Mtandao Wa AIRTEL Imekuwa Tofauti kidogo kwa sababu ili Uweze kupata Huduma Ya Mastercard ni lazima ulipie sh 2,000/= ili uweze Kutengeneza Card 
Kwa Hiyo kabla hujaenda Kutengeneza Card hakikisha kwenye lain yako Haukosi sh 2,300/= kwenye account ya AIRTEL Money 💰 

Fata Hatua Hizi ili uweze kutengeneza Card ya Mastercard kwa Lain ya AIRTEL 



Hatua Ya pili (2)

Hatua Ya Tatu (3)

Hatua Ya Nne (4)
 
Hatua Ya Tano (5)


Hizo Ndo Hatua za Kutengeneza Card Ya Mastercard ikitokea umekwama kwenye Kutengeneza Card Bonyeza hapa kwa Msaada Zaidi




NJISI YA KUTENGENEZA VISA CARD KWA MTANDAO WA VODACOM 

Kutengeneza VISA Card Ni Bure kabsa ila itakuhitaji wewe mtumiaji wa Card ya VISA uweke Hela kwenye Card baada ya kuitengeneza ili uweze kupata Taarifa za Card Yako
Naposema Taarifa Namaanisha
●Card Number 
●MM/YY
●CVV
hela unayotakiwa kuweka ni kwanzia sh 1,000 tu na yenyewe utaikuta kwenye Card yako baada Ya kuweka hela kwenye Card utapewa Taarifa zako🙃🤙

FATA HATUA HIZI KUTENGENEZA VISA CARD 


Hatua Ya pili (2)


Hatua Ya Tatu (3)


Hatua Ya Nne (4)

Fata hizo Hatua kukamilisha kutengeneza Card,Hatua Ya mwisho itakuhitaji kuweka hela ili uweze kupata Card Details 

Uzuri wa VISA Card yenyewe unaitumia kwa Mda mrefu zaidi Ya mwaka 1 ni tofauti Na MASTERCARD 
Alafu imekaa kitajiri 😁

©️2024 Warden All right Reserved




2 comments

  1. Great
  2. Great Again
Whatsapp me 0699181313
Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.