Notification texts go here Contact Us Buy Now!
TENGENEZA BLOG YA BIASHARA KUPITIA WAT_TECHNOLOGY...
Posts

Jinsi Ya kulipia Mange Kimambi App..!

 Download Application ya mange Kimambi PLAYSTORE au APPSTORE

Bonyeza hapa kudownload App ya Mange Kimambi




Ukimaliza Kudownload Utafungua Application yako utajisajili kwa kujaza Taarifa hizi 


Utabonyeza hiyo Sehemu iliyoandikwa Kujisajili/Register
Ili kufungua Account Kwa Mange Kimambi App 
Baada Ya kubofya hapo itakuleta eneo hili hapa 



Kwenye Kisanduku Cha kwanza Utaweka Jina lako unalotaka Kutumia kwa mfano
Warden,Warden13 ukiweka jina moja likakataa utatakiwa kuongeza Number mbele Mfano WARDEN13,WARDEN01 nk

Kisanduku cha 2 weka Password Yako Rahisi ambayo hautasahau
Kama hapo Kwenye picha


Ukimaliza kujaza hizo Taarifa Utabonyeza neno Jisajili ili kutengeneza Account Yako
Hatua inayo fata baada ya kujisajili ni hii hapa 




Itafunguka na itakuleta eneo hilo hapo utajaza Email Yako 📧 
Mfano Wardenng86@gmail.com hadi kufika hapo utakuwa umekamilisha zoezi la kufungua Account ya Mange Kimambi App 



Sasa ili kuitumia Account utatakiwa ulipie 
Kiasi cha cha kulipia ni sh 2,300/= TZS kwa Mwezi
Sh 7,000/=TZS kwa miezi 3
Sh 12,000/=TZS kwa miezi 6
Sh 23,000 kwa miezi 12


Kwenye Swala la Kulipia ndo kikwazo kwa watu  wengi sasa hapa nifatilie kwa makini ili nikwelekeze namna ya kulipia Package moja wapo ya Mange Kimambi App..


HATUA YA KWANZA
1:Utabonyeza Package unayotak kama ni Ya mwezi sh 2,300/= TZS utaibonyeza
Then itakuleta hapa

Itakuleta eneo hilo unachotakiwa kufanya ni kubonyeza
 Huo mshale apo kama nilivyoelekeza kwenye Picha
Ukisha bonyeza huo mshale itakuleta eneo hili hapa
Sehemu iliyoandikwa Add credit au debit Card kma nilivyoonyesha hapo kwenye picha 

Ukisha bonyeza hapo itakuleta eneo hili hapa utatakiwa kujaza Taarifa za Card Yako kama unazo
Kama hauna Card ntakwelekeza namna Ya kupata Card Yako kupitia mtandao unaotumia

AIRTEL, TIGO,VODACOM,

JINSI YA KUTENGENEZA CARD YA MASTERCARD NA VISA CARD


Hapo utaweka Number yako ya Card 
 Inaweza kuwa Visa Card au Mastercard 
Ukishajaz number yako ya card itakuletea kuweka Mwezi na Mwaka wa card ku Expire
Mfano hapo Kwenye
MM/YY utawek mwez wa Card kuexpire mfano mwez wa 03 mwaka 2024
03/24

Kwenye Kisanduku cha kulia kilichoandikwa CVC utatakiwa kuweka password nayo utapewa baada ya kutengeneza Card Yako ya Mastercard au VISA

Ukishaweka hizo Taarifa Utabonyeza neno Update itakuomba Password ya simu yako au fingerprint,kuna mda itaomba password ya email yako so utaangalia kwa mda huo inakuomba nini 
So kama itaomba password ya simu yako utaweka baada ya kuweka  utakuwa umefanikisha kulipia Package Yako🤙

Na wakati unalipia hakikisha kwenye lain yako uliyotumia kufungua Card kuna Hela inayohitajika kufanya malipo 
Kama ni hyo Package ya 2,300/=TZS  utatakiwa kuwa na sh 2600 kwenye simu kwa sababu kuna hela ya makato

Kwenye Card ya Visa Card yenyewe utatakiwa kabsa kuweka hela kwenye Card yenyewe ipo tofauti na Card Mastercard 

Ukishindwa kulipia njoo Whatsapp nikusaidie kufanya malipo
Nicheki kwa number 0699 181 313 

Bonyeza hapa Kwa Msaada Zaidi




Je?? Hujui namna ya Kutengeneza Card,BONYEZA HAPA KUTENGENEZA CARD



Post a Comment

Whatsapp me 0699181313
Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.